Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi akimsalimia Mama Fatma Karume alipowasili katika Jukwaa Kuu la Viongozi wakati wa Mkutano Maalum wa Kumpongeza kwa Uongozi wake wa Miaka Mitatu, ulioandaliwa na Jumuiya wa Wanawake Tanzania (UWT) ya Chama Cha Mapinduzi.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara. Ndg. Abdulrahaman Kinana
wakisoma toleo maalumu la Miaka Mitatu ya Uongozi wake Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa Mkutano Maalum wa
Kumpongeza uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini
Unguja Jijini Zanzibar leo 4-11-2023, ulioandaliwa na Jumuiya ya Wanawake
Tanzania (UWT)(
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akifuatilia burudani wakati Msanii Dulla Makabila
akitowa burudani watika wa Mkutano Maalum wa Kumpongeza kwa Uongozi wake wa
Miaka Mitatu, uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini
Unguja Jijini Zanzibar leo 4-11-2023, na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu
wa CCM Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa
ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla,
Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein na Makamu Mwenyekiti wa (UWT)
Taifa Mhe.Zainab Shomar na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa (UWT) Taifa Mhe.Mary
Chatanda na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Mhe.
Abdulrahaman Kinana
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
akijumuika na Wananchi katika burudani ya Taarab wakati Msanii Khadija Kopa
akitowa burudani katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
Jijini Zanzibar leo 4-11-2023, wakati wa Mkutano Maalum wa Kumpongeza Dk.Hussein
Ali Mwinyi kwa Uongozi wake wa Miaka Mitatu
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Taifa
Mhe.Zainab Shomar akizungumza katika mkutano Maalum wa Kumpongeza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa
Uongozi wake wa Miaka Mitatu ya maendeleo Zanzibar, uliyofanyika katika viwanja
vya Msaisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 4-11-2023
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Taifa
Mhe.Mary Chatanda akizungumza katika mkutano Maalum wa Kumpongeza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa
Uongozi wake wa Miaka Mitatu ya maendeleo Zanzibar, uliyofanyika katika viwanja
vya Msaisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 4-11-2023.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Makamu Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa
zawadi maalum iliyotolewa na UWT Taifa ya kumpongeza kwa Uongozi wake wa Miaka
Mitatu, akikabidhiwa na Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Mary Chatanda, wakati wa
mkutano huo uliyofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini
Unguja leo 4-11-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum iliyotolewa na UWT Taifa ya kumpongeza kwa Uongozi wake wa Miaka Mitatu, akikabidhiwa na Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Mary Chatanda, wakati wa mkutano huo uliyofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja leo 4-11-2023.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Makamu Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi
hundi ya Shilingi 75,000,000/= kwa Viongozi wa Vikundi 17 vya Wajasiriamali
Wanawake Zanzibar, wakati wa Mkutano Maalum wa Kumpongeza kwa Uongozi wake wa
Miaka Mitatu, mkutano huo ulioyofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman
Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 4-11-2023.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Makamu Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi
hundi ya Shilingi 75,000,000/= kwa Viongozi wa Vikundi 17 vya Wajasiriamali
Wanawake Zanzibar, wakati wa Mkutano Maalum wa Kumpongeza kwa Uongozi wake wa
Miaka Mitatu, mkutano huo ulioyofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman
Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 4-11-2023
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Makamu Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia
katika Mkutano Maalum wa Kumpongeza kwa Uongozi wake wa Miaka Mitatu,
ulioandaliwa na Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) yac CCM uliofanyika katika viwanja vya Maisara
Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja leo 4-11-2023.
WAFANYAKAZI wa Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar
wakishingilia wakati wa Mkutano wa Kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi, ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi
(CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa Uongozi wake wa Miaka Mitatu,
mkutano huo uliofanyika katika Viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini
Unguja, ulioandaliwa na Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT)
BAADHI ya Wananchi kutoka Mikoa mbalimbali wakishangilia katika
Mkutano wa Kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa Uongozi wake wa Miaka Mitatu, mkutano huo
uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja,
ulioandaliwa na Jumuiya wa Wanawake Tanzania (UWT)
WAKE wa Viongozi Wastafu wakifuatilia Mkutano
Maalum wa Kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa Uongozi wake wa Miaka Mitatu,mkutano huo
uliyofanyika katika Viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini
Zanzibar leo 4-11-2023.
VIONGOZI wa UWT Taifa wakifuatilia Mkutano
Maalum wa Kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa Uongozi wake wa Miaka Mitatu uliofanyika katika
viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo
4-11-2023
BAADHI ya Wanawake wa UWT kutoka Mikoa mbalimbali wakishangilia katika
Mkutano wa Kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa Uongozi wake wa Miaka Mitatu, mkutano huo
uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja,
ulioandaliwa na Jumuiya wa Wanawake Tanzania (UWT)
No comments:
Post a Comment