Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Paul Makonda alipofika Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma kwa mazungumzo tarehe 2 Novemba, 2023
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Paul Makonda Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma leo tarehe 2 Novemba, 2023
No comments:
Post a Comment