Habari za Punde

Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al --Sumait Chukwani Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman  Al-Sumait University, Chukwani Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume (wa nne kulia) pamoja na Viongozi wengine alipowasili katika mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili,Shahada,Diploma na vyeti    yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na  Viongozi  mbali mbali  wengine alipowasili katika  mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili,Shahada,Diploma na vyeti  yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Kikuu cha   Abdulrahman  Al-Sumait University, Chukwani   Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman  Al-Sumait University, Chukwani Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume (katikati) wakifuatana  pamoja na Viongozi wengine wakielekea katika viwanja vya sherehe za  mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili,Shahada,Diploma na vyeti    yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman  Al-Sumait University, Chukwani Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume (kulia) alipokuwa akimkaribisha mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) kuzungumza na hadhara katika  sherehe za    mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili,Shahada,Diploma na vyeti  yaliyofanyika leo  Chuo Kikuu cha   Abdulrahman  Al-Sumait University, Chukwani   Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimkabidhi Zawadi Mwanafunzi bora wa  Shahada ya Sanaa na Elimu katika kiingerezaa na Kiswahili  Ndg,Juwaira Ali Omar, katika  sherehe za  mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili,Shahada,Diploma na vyeti  yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Kikuu cha   Abdulrahman  Al-Sumait University, Chukwani   Mkoa wa Mjini Magharibi (kushoto) Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman  Al-Sumait University, Chukwani Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimkabidhi Zawadi Mwanafunzi bora wa  Sheriah na Sheria za Kiislamu Ndg,Mohamed Ali Hassan katika  sherehe za  mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili,Shahada,Diploma na vyeti  yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Kikuu cha   Abdulrahman  Al-Sumait University, Chukwani   Mkoa wa Mjini Magharibi (kushoto) Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman  Al-Sumait University, Chukwani Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokea Zawadi maalum kutoka kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman  Al-Sumait University, Chukwani Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume,  katika  sherehe za  mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili,Shahada,Diploma na vyeti  yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Kikuu cha   Abdulrahman  Al-Sumait University, Chukwani   Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akizungumza   katika  sherehe za  mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili,Shahada,Diploma na vyeti  yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Kikuu cha   Abdulrahman  Al-Sumait University, Chukwani   Mkoa wa Mjini Magharibi.
Wahadhiri katika Chuo Kikuu cha Abdulrahman  Al-Sumait University, Chukwani Zanzibar wakiwa katika  sherehe za  mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili,Shahada,Diploma na vyeti    yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.

Baadhi ya wanafunzi wa fani mbali mbani katika Chuo Kikuu cha Abdulrahman  Al-Sumait University, Chukwani Zanzibar wakiwa katika  sherehe za  mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili,Shahada,Diploma na vyeti   yaliyofanyika leo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi .[Picha na Ikulu] 27/01/2024. 
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.