Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele (kulia) akishiriki Matembezi ya ufunguzi wa wiki ya sheria Kitaifa Mkoani Dodoma Januari 27,2024. Matembezi hayo yaliongozwa na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Akson na viongozi wengine mbalimbali wa Makama. Maadhimisho ya Wiki ya sharia yalianza Januari 24,2024 na yanataraji kufikia tamati Februari 1, mwaka huu. (Picha na NEC).
Meridianbet Yaungana na Diwani wa Kata Kufanya Usafi Africana
-
IKIWA ni Jumamosi nyingine ya kijanja, wakali wa ubashiri Meridianbet leo
hii wamefika Mbezi Africana pale Kituoni na kufanya zoezi la usafi. Lakini
pia l...
10 hours ago
No comments:
Post a Comment