Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe.
Joko Widodo wakati wakielekea kupanda mti wa kumbukumbu katika viwanja vya
Makazi ya Rais huyo Bogor Presidential Palace tarehe 25 Januari,2024.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akinawishwa mikono na Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe.
Joko Widodo mara baada ya kupanda mti wa kumbukumbu katika viwanja vya Makazi
ya Rais huyo Bogor Presidential Palace tarehe 25 Januari,2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo katika Ofisi za Rais huyo Bogor Presidential Palace tarehe 25 Januari,2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo katika Ofisi za Rais huyo Bogor Presidential Palace tarehe 25 Januari,2024.
No comments:
Post a Comment