Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Hemed Suleiman Abdulla akiweka Saini katika kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Edward Ngoyai Lowassa wakati alipowasili katika Makazi ya Familia Masaki Jijini Dar es salaam leo tarehe 12 Februari 2024.
Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR)
Tarehe.12.02.2024
No comments:
Post a Comment