RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Canada
Nchini Tanzania Mhe. Kyle Nunas, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wa
Jumuiya ya Mabunge ya Canada-Afrika, kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi
wa Ikulu Zanzibar leo 22-2-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa
Jumuiya ya Mabunge ya Canada –Afrika, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2024.na (kulia kwa Rais) Balozi wa
Canada Nchini Tanzania Mhe.Kyle Nunas na Kiongozi wa Ujumbe huo Seneta Amina
Gerba.
UJUMBE wa Jumuiya ya Mabunge ya Canada – Afrika
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mazungumzo yao
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2024, ujumbe huo
ukiongozwa na Balozi wa Canada Nchini Tanzania Mhe. Kyle Nunas na (kulia kwake)
Kiongozi wa Ujumbe huo Seneta Mhe. Amina Gerba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum na Kiongozi wa
Ujumbe wa Jumuiya ya Mabunge ya Canada-Afrika Seneta Amina Gerba na (kulia
kwake) Mhe. Brenda Shanahan, baada ya kumaliza kwa mazungumzo yao yaliyofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kubadilishana mawazo na
Ujumbe wa Jumuiya ya Mabunge ya Canada –Afrika, baada ya kumaliza mazungumzo
yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2024.
No comments:
Post a Comment