Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi Ajumuika na Wananchi Katika Kisomo cha Hitma na Dua Kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Vyama vya Siasa na Wananchi katika kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Awamu wa Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan katika ukumbi wa Viwanja vya Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-3-2024

WANANCHI mbalimbali wa Zanzibar,Dar es Salaam na Nchi Jirani na Viongozi wa Serikali wakijumuika katika Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuobea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, iliyofanyika katika ukumbi wa Viwanja vya Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-3-2024
WANAFUNZI kutoka Madrasa Fisabilillah Nyamazi Wilaya ya Magharibu “B” Unguja wakijumuika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi ,iliyofanyika katika ukumbi wa Viwanja vya Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja iliyofanyika leo 3-3-2024
WANANCHI mbalimbali wa Zanzibar,Dar es Salaam na Nchi Jirani na Viongozi wa Serikali wakijumuika katika Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuobea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, iliyofanyika katika ukumbi wa Viwanja vya Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-3-2024
WANANCHI mbalimbali wa Zanzibar,Dar es Salaam na Nchi Jirani na Viongozi wa Serikali wakijumuika katika Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuobea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, iliyofanyika katika ukumbi wa Viwanja vya Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-3-2024RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, kabla ya kuanza kwa Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika ukumbi wa Viwanja vya Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-3-2024
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akijumuika na Viongozi mbalimbali, Wananfamilia na Wananchi wa Zanzibar katika Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, kilichofanyika katika ukumbi wa Viwanja vya Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-3-2024, na (kulia kwa Rais) Mjane wa Hayati Rais Mstaafu wa Tanzania Alhajj Ali Hassan Mwinyi,  Mama Siti Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi katika kuitikia dua ikishomwa na Sheikh Said Ahmad Ahmad kutoka Nchini Kenya (kulia kwa Rais ) na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdullah

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa shukrani kwa Viongozi wa Serikali na Wananchi, kwa ushirikiano wao katika maziko ya Baba yake Mzazi Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, wakati wa kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombeya iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, iliyofanyika katika ukumbi wa Viwanja vya Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-3-2024

VIONGOZI mbalimbali na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk,.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kutowa neno la shukrani, baada ya kumalizika kwa Kisoma cha Hitma na Dua ya kumuombea Baba yake Mzazi Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, katika ukumbi wa Viwanja vya Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-3-2024.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.