Habari za Punde

Dkt.Biteko Amtembelea Mzee Stephen Mashinhanga Nyumbani Kwake Morogoro

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amemtembelea na kumjulia hali kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mkuu wa Mkoa mstaafu, Mzee Stephen Mashishanga nyumbani kwake, Mtaa wa Forest, Manispaa ya Morogoro Mkoa wa Morogoro Aprili 11, 2024. (Picha na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.