Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Mwinyi Amijumuia na Waumini wa Dini ya Kiislam Katika Ibada ya Sala ya Eid Fitry Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi wa Dini na Serikali alipowasili katika viwanja vya Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B”Unguja Jijini Zanzibar, kujumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Ibada ya Sala ya Eid Fitry, iliyofanyika leo baada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiwa katika viwanja vya Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini  Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid Fitry ikisomewa na Sheikh.Abdulkarim Said Abdulla, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Fitry iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini leo 10-4-2024, baada ya kumalizika kwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiwa katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini  Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid Fitry ikisomewa na Sheikh.Abdulkarim Said Abdulla, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Fitry iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini leo 10-4-2024, baada ya kumalizika kwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
BAADHI ya Viongozi wa Serikali,Balozi Mdogo wa Oman na Wananchi wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid Fitry ikisomwa na Sheikh Abdulkarim Said Abdulla, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid Fitry iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-4-2024, kwa kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kuandama kwa mwezi jana
RAIS wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam na Viongozi wa Serikali katika kutikia dua ikisomwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Hassan Othman Ngwali (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid Fitry, iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-4-2024, baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhajj Othman Masoud Othman na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla na Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mhe. Hafidh Ameir 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais wa Zanzibar Mstaafu Alhajj Dkt. Amani Abeid Karume, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid Fitry,iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-4-2024, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhajj Othman Masoud Othman
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mstaafu Alhajj.Balozi Seif Ali Iddi, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid Fitry,iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-4-2024. 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Alhajj Dkt.Mohammed Said Dimwa, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid Fitry,iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-4-2024

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika picha na pamoja na Watoto, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid Fitry iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wananchi wakati akiondoka katika viwanja vya Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-4-2024, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid Fitry iliyofanyika leo kwa kumamilisha Ibada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.