Habari za Punde

WAZIRI MKUU ASHIRIKI SALA YA EID ELFITRI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Jabir Shekimweri wakati alipowasili katika Msikiti wa Gaddafi mjini Dodoma kushiriki Sala ya Eid Elfitri,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa amejumuika na waumini wa kiislamu kwenye Sala ya Eid Elfitri, katika Msikiti wa Gaddafi jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na waumini wa dini ya kiislamu kwenye Sala ya Eid Elfitri, katika Msikiti wa Gaddafi jijini Dodoma
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiitikia dua iliyosomwa na Sheikh wa Mkoa wa Dodoma Alhaj Mustafa Rajabu Shaban kwenye Sala ya Eid Elfitri, katika Msikiti wa Gaddafi jijini Dodoma. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu baada ya kushiriki katika Sala ya Eid Elfitri kwenye Msikiti wa Gaddafi jijini Dodoma, Aprili 10.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.