RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Ujumbe wa CAF ukiongozwa na
Rais Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Dkt.Patrice Motsepe, walipofika Ikulu
Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
leo 24-5-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Rais
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar leo 24-5-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Shirikisho la Soka
Afrika (CAF) ukiongozwa na Rais wa CAF Dkt. Patrice Motsepe (kulia kwa Rais)
mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
24-5-2024

RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF)
Dkt.Patrice Motsepe akisaini mpira kwa ajili ya kumkabidhi zawadi Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, baada
ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
leo 24-5-2024
RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF)
Dkt.Patrice Motsepe akimkabidhi zawadi ya mpira maalum Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, baada ya kumaliza
mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
24-5-2024, akiwa na Ujumbe wake
RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF)
Dkt.Patrice Motsepe akimkabidhi zawadi ya mpira maalum Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, baada ya kumaliza
mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
24-5-2024, akiwa na Ujumbe wake
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Jezi ya Timu ya Taifa
ya Zanzibar Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Dkt.Patrice Motsepe, baada
ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
yaliyofanyika leo 24-5-2024

Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Rais wa Shirikisho
la Soka Afrika (CAF) Dkt.Patrice Motsepe na ujumbe wake baada ya kumaliza
mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
24-5-2024
No comments:
Post a Comment