RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wataalamu Maalumu kutoka Nchini Brazil Wanaojishughulisha na
Mradi wa kupunguza Vifo vya Mama na Mtoto, ulioambatana na Mwakilishi wa
Heshima wa Brazil Zanzibar Mhe. Abdulsamad Abdulrahim (kulia kwa Rais) na
Kiongozi wa Ujumbe huo Bi.Camila Guedes Ariza, mazungumzo hayo yaliyofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-6-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wataalamu Maalum
kutoka Nchini Brazil Wanaojishughulisha na Mradi wa kupunguza Vifo vya Mama na
Mtoto (kulia kwa Rais) ukiongozwa na Bi.Camila Guedes Ariza na (kushoto kwa Rais)
Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar ukiongozwa na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.
Nassor Ahmed Mazrui, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar leo 26-6-2024.
No comments:
Post a Comment