Habari za Punde

Tanzania Yashika Nafasi ya 5 Duniani Kuvutia Watalii Kimataifa

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Angellah Kairuki (Mb) akichangia mjadala wa Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2023 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka wa fedha 2024/2025 na Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025,  Juni 26,2024 Bungeni leo Juni 26,2024 jijini Dodoma.

Baadhi ya wabunge wakifuatilia mjadala wa Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2023 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka wa fedha 2024/2025 na Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, Juni 26,2024 Bungeni leo Juni 26,2024 jijini Dodoma.

 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.