Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya akiwasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani kwa ajili ya kuwasilisha Bajeti ya Serikali kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar leo 13-6-2024.
ILANI KWA VIJANA – CHUKUA HATUA
-
Na Cathbert Kajuna, MMG.
Habari zenu vijana wenzangu, nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania.
Katika maisha, heshima na utu wa mtu hujeng...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment