Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu. Hemed Suleiman Abdulla ameondoka Zanzibar na kuwasili Mkoani Katavi ambapo anatarajiwa kuzindua sherehe za Wiki ya wazazi Kitaifa kwa niaba ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dkt Hussein Ali Mwinyi zinazotarajiwa kufikia kilele chake tarehe 13.07. 2024.
Imetolewa na Kitengo cha Habari(OMPR )
Tarehe 08.07.2024
No comments:
Post a Comment