Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
Wananchi wa Mpimbwe katika Jimbo la Kavuu mkoani Katavi tarehe 15 Julai, 2024.
Mhe. Rais Samia amehitimisha Ziara yake mkoani Katavi na Kuendelea na Ziara
yake Mkoani Rukwa kwa kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuzungumza na
Wananchi.

Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda pamoja na
Wananchi wa Mpimbwe wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwasili
katika eneo la Kibaoni wakati akihitimisha ziara yake Mkoani Katavi tarehe 15
Julai, 2024.
Wananchi wa Mpimbwe kwenye Jimbo la Kavuu
mkoani Katavi wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan katika eneo la Kibaoni tarehe 15 Julai, 2024.
No comments:
Post a Comment