RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya
Kiislam, katika kuitikia dua ikisomwa na Sheikh.Shariff Abdulrahaman Muhidin
(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa dua maalumu, baada ya kumalizika kwa
Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Kilimani Wilaya ya Mjini
Unguja Jijini Zanzibar leo 12-7-2024 na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar
Sheikh.Saleh Omar Kabi na Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar Mhe.Toufiq Salim
Turky na (kushoto kwa Rais) Katibu Mtendaji Ofisi ya Mufti Mkuu Zanzibar
Sheikh.Khalid Ali Mfaume
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wananchi baada ya
kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Kilimani
Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 12-7-2024
No comments:
Post a Comment