Habari za Punde

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Mchezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Atembelea Ukarabati wa Jengo la Redio Rahaleo Zanzibar

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali  wakati alipofanya Ziara kutembelea Jengo la Utangazaji la ZBC Radio lililofanyiwa Ukarabati Rahaleo Mjini Zanzibar.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akipatiwa maelezo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji (ZBC) Ramadhan Bukini wakati alipofanya Ziara kutembelea Jengo la Utangazaji la ZBC Radio lililofanyiwa Ukarabati Rahaleo Mjini Zanzibar.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akifuatana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji (ZBC) Ramadhan Bukini wakati alipofanya Ziara kutembelea Jengo la Utangazaji la ZBC Radio lililofanyiwa Ukarabati Rahaleo Mjini Zanzibar.

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akipatiwa maelezo na Mkurugenzi Ufundi wa Shirika la Utangazaji (ZBC) Ali Aboud Talib wakati alipofanya Ziara kutembelea Jengo la Utangazaji la ZBC Radio lililofanyiwa Ukarabati Rahaleo Mjini Zanzibar.

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akifahamisha Jambo wakati akipatiwa maelezo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji (ZBC) Ramadhan Bukini  wakati alipofanya Ziara kutembelea Jengo la Utangazaji la ZBC Radio lililofanyiwa Ukarabati Rahaleo Mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZNAIZBAR.17/07/2024.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.