Habari za Punde

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  ambae pia ni Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapugia mkono na kuwasalimia Vijana wa UVCCM alipowasili katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar kwa ajili ya uzinduzi wa Tamasha la Tumazima Zote Tunawasha Kijani, lililofanyika leo 10-8-2024 katika uwanja huo.














No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.