Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Amelifungua Kongamano la Kitaifa la Vijana Ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowaili katika viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, kwa ajili ya ufunguzi wa Kongamano la  Kitaifa la Kuwawezesha Vijana, lililoandaliwa na Taasisi ya Global Youth Empowerment Institute,lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-8-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi atembelea maonesho ya Ubunifu wa Vijana, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa la Kuwawezesha Vijana, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-8-2024, lililoandaliwa na Taasisi ya Global Youth Empowerment Institute




WASHIRIKI wa Kongamano la Kitaifa la Kuwawezesha Vijana wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano hilo, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar leo 10-8-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Tuzo  Kijana Adil Ali Bakar,kwa mchango wake wa Kuwahamasisha Vijana katika Masuala Kutokata Tamaa juu ya Ndoto Zao,katika hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa la Kuwawezesha Vijana, lililoandaliwa na Taasisi ya Global Youth Empowerment Institute, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar leo 10-8-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Tuzo Maalum kwa Mchango wake kwa Vijana, akikabidhiwa na Muazilishi wa Taasisi ya Global Youth Empowerment Institute. Amina Sanga, baada ya kulifungua Kongamano la Kitaifa la Kuwawezesha Vijana, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar, Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-8-2024



 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.