MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungwa Skafu na Vijana ya UVCCM, alipowasili
katika viwanja vya ukumbi wa Mikutano viwanja vya Maonesho Dimani Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja, akiendelea na ziara yake ya Kichama katika Mkoa wa
Magharibi Kichama kuzungumza na Viongozi wa Kamati za Siasa wa ngazi mbalimbali
katika Mkoa huo Kichama
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar
ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa mkutano viwanja vya maonesho
Dimani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja akiendelea na ziara yake katika Mkoa wa
Magharibi Kichama, na kuzungumza na Viongozi wa Kamati za Siasa wa ngazi
mbalimbali Kichama katika mkoa huo, na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa CCM Mkoa
wa Magharibi Kichama Ndg. Mohammed Rajab Soud na Mjumbe wa HalmaSHAURI Kuu ya
CCM Taifa Ndg. Leila Burhani Ngozi na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa
CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa
VIONGOZI mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
wakiwa katika ukumbi wa mkutano viwanja vya maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi
“B” Ungaja wakati Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae
pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi, wakati akiwasili katika ukumbi kwa ajili ya kuzungumza na Viongozi wa
Kamati za Siasa ngazi mbalimbali wa Mkoa wa Magharibi Kichama akiendlea na
ziara yake
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa akizungumza na kuonesha ukurasa wa Gazeti
wakati wa ziara ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika ziara yake ya Kichama katika Mkoa wa
Magharibi Kichama, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano viwanja
vya Maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na
Viongozi wa Kamati za Siasa wa ngazi mbalimbali katika Mkoa wa Magharibi
Kichama wakati wa ziara yake ya Kichama katika Mkoa huo iliyofanyika leo
13-8-2024. Mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa viwanja vya maonesho
Dimani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja

VIONGOZI wa Kamati za Siasa katika Mkoa wa
Magharibi Kichama ngazi mbalimbali wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Viongozi
hao wakati wa ziara yake ya Kichama katika Mkoa huo, mkutano huo uliofanyika
katika ukumbi wa mikutano viwanja vya maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja

Unguja.
No comments:
Post a Comment