Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na
Askari wa vikundi mbalimbali vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
ambao walishiriki kwenye zoezi la Medani wakati wa shamrashamra za Maadhimisho
ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Pongwe Msungura,
Msata Mkoani Pwani tarehe 23 Agosti, 2024.

Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiimba pamoja na vikundi
mbalimbali vya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati
wakitoka kwenye zoezi la Medani lililofanyika Pongwe Msungura, Msata
mkoani Pwani tarehe 23 Agosti, 2024.
No comments:
Post a Comment