Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini, Mubaraka Mohamed Alsehaijan, ambaye alikwenda kuaga ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya picha yenye mlima Kilimanjaro na twiga, Balozi wa Kuwait nchini, Mubaraka Mohamed Alsehaijan ambaye alikwenda kuaga baada ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Kuwait nchini, Mubaraka Mohamed Alsehaijan, ambaye alikwenda kuaga ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni jijini Dodoma, Septemba 3, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment