Habari za Punde

DKT. TULIA NA RAIS WA HUNGARY WAJADILI HALI YA AMANI DUNIANI

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kushoto) akisalimiana na Rais wa Hungary, Mhe. Tamas Sulyok katika Ikulu ya nchi hiyo iliyopo Jijini Budapest 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson (wa pili kushoto) akisalimiana na Rais wa Hungary, Mhe. Tamas Sulyok (wa pili kulia) katika Ikulu ya nchi hiyo iliyopo Jijini Budapest

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson (wa pili kushoto) akisalimiana na Rais wa Hungary, Mhe. Tamas Sulyok (wa pili kulia) katika Ikulu ya nchi hiyo iliyopo Jijini Budapest leo tarehe 8 Oktoba, 2024. (katikati ni Mbunge wa Mexico na Rais Wanawake wa Umoja wa Mabunge Duniani, Mhe. Cynthia López Castro). Wengine ni Wakalimani wa lugha.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.