Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Mwinyi Amefanya Ziara Futi Qatar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi na ujumbe wake amewasili  Doha, Qatar,  tarehe 03 Novemba 2024 na kuelekea Soko la kihistoria la Souq Waqif.

Soko hilo la kihistoria ni moja ya kivutio cha utalii nchini humo ambapo huuza mavazi ya kitamaduni, viungo, kazi za mikono, na zawadi.

Ziara hiyo fupi imeratibiwa na Naibu Mkuu wa Itifaki wa Qatar, Youssef Al Harami, kwa niaba ya Amiri wa Taifa la Qatar, Sheikh Tamim Bin Hamad Al Thani.





No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.