Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Balozi wa Denmark nchini, Mhe. Jespper Kammersgaard baada ya mazungumzo kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, November 4, 2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Denmark nchini, Mhe. Jespper Kammersgaard, kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, November 4, 2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya picha, Balozi wa Denmark nchini, Mhe. Jespper Kammersgaard baada ya mazungumzo kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, November 4, 2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Denmark nchini, Mhe. Jespper Kammersgaard baada ya mazungumzo kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, November 4, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment