RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la
Mradi wa Unjenzi wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini
Mkoa wa Kaskazini Unguja,ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto kwa Rais ) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini
Unguja Mhe. Mattar Zahor Masoud na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu
Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mshauri Elekezi wa Wakala wa
Majengo Zanzibar Mhandisi Arafa Haji Ali akitowa maelezo ya Kitaalamu ya Ujenzi
wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la
Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati wa hafla ya Uwekaji
wa Jiwe la Msingi la ujenzi huo na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini
Unguja Mhe. Mattar Zahor Masoud na
(kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN Ilhan Karadeniz na Waziri wa Ujenzi , Mawasiliano na Uchukuzi
Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed, ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 61 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mshauri Elekezi wa Wakala wa
Majengo Zanzibar Mhandisi Arafa Haji Ali akitowa maelezo ya Kitaalamu ya Ujenzi
wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la
Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati wa hafla ya Uwekaji
wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa nyumba hizo, (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa
Kaskazini Unguja Mhe. Mattar Zahor Masoud na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na
Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya ORKUN Ilhan Karadeniz, ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 61 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mshauri Elekezi wa Wakala wa
Majengo Zanzibar Mhandisi Arafa Haji Ali akitowa maelezo ya Kitaalamu ya Ujenzi
wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini
Unguja, wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa nyumba hizo,
(kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN Ilhan Karadeniz na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi
Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed, ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 61 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya
ORKUN Alhan Karadeniz akitowa maelezo ya michoro ya nyumba zinazojengwa Bumbwini Kidazini Mkoa wa
Kaskazini Unguja, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi
huo,ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar,(kushoto kwake) Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar
Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed na Mshauri Elekezi wa Wakala wa Majengo Zanzibar
Mhandisi Arafa Haji Ali.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Mradi wa nyumba 370
zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya
kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Mradi huo, ikiwa ni shamrashamra za
Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia kwa Rais )
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Mattar Zahor Masoud na (kushoto kwa Rais)
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum
Mohammed.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini
Unguja, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa
Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini
Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar
WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi hao baada ya
kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo
la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za
Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi hao baada ya
kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo
la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za
Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
No comments:
Post a Comment