Habari za Punde

DUA MAALUM YA KUWAOMBEA VIONGOZI NA WAZEE WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI YAFANYIKA ZANZIBAR

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Ayoub Mohamed Mahmoud  (katikati)akiwa pamoja na Muakilishi wa Jimbo la Makunduchi Mwalim Dokta Haroun Ali Suleiman na Viongozi mbalimbali katika  Dua Maalum ya kuwaombea Viongozi walioko madarakani na Wazee waliotangulia Mbele ya haki hafla iliofanyika Katika Msikiti wa Kibuteni Mkoa wa Kusini Unguja.

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Ayoub Mohamed Mahmoud  (katikati)akiwa pamoja na Muakilishi wa Jimbo la Makunduchi Mwalim Dokta Haroun Ali Suleiman (Kushoto)na Sheikh wa Kibuteni katika Dua Maalum ya kuwaombea Viongozi walioko madarakani na Wazee waliotangulia Mbele ya haki hafla iliofanyika katika Msikiti wa Kibuteni Mkoa wa Kusini Unguja.
Sheikh Kutoka Kizimkazi  Hassan Omar Khatibu akiongoza Dua ya  kuwaombea Viongozi walioko madarakani na Wazee waliotangulia Mbele ya haki hafla iliofanyika Katika Msikiti wa Kibuteni Mkoa wa Kusini Unguja.

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Ayoub Mohamed Mahmoud  akizungumza na Waumini wa Dini ya kiislamu kuhusiana na Umoja Upendo na Kudumisha Amani na Utulivu katika hafla ya Dua Maalum ya kuwaombea Viongozi walioko madarakani na Wazee waliotangulia Mbele ya haki hafla iliofanyika Katika Msikiti wa Kibuteni Mkoa wa Kusini Unguja.
Mbunge wa Jimbo la Mpendae Tawfik Salum Turky akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu waliohudhuria katika Dua Maalum ya kuwaombea Viongozi walioko madarakani na Wazee waliotangulia Mbele ya haki hafla iliofanyika Katika Msikiti wa Kibuteni Mkoa wa Kusini Unguja.

Muakilishi wa Jimbo la Makunduchi ambae pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora  Mwalim Dokta Haroun Ali Suleiman akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu waliohudhuria katika Dua Maalum ya kuwaombea Viongozi walioko madarakani na Wazee waliotangulia Mbele ya haki hafla iliofanyika Katika Msikiti wa Kibuteni Mkoa wa Kusini Unguja.

Muakilishi wa Jimbo la Makunduchi ambae pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora  Mwalim Dokta Haroun Ali Suleiman akizungumza na akina Mama  waliohudhuria katika Dua Maalum ya kuwaombea Viongozi walioko madarakani na Wazee waliotangulia Mbele ya haki katika Skuli ya  Kibuteni Mkoa wa Kusini .Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Ayoub Mohamed Mahmoud.
Picha na Yussuf Simai - Maelezo Zanzibar.-.03/01/2025.I




No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.