Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa pamoja wa Wakuu wa Nchi na
Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini
mwa Afrika (SADC) uliofanyika katika ukumbi wa Kikwete, Ikulu Jijini Dar es
Salaam tarehe 08 Februari, 2025. Mkutano huo pamoja na mambo mengine unajadili
hali ya ulinzi na usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Viongozi mbalimbali wakishiriki Mkutano wa
pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na
Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika katika ukumbi wa
Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Februari, 2025. Mkutano huo
pamoja na mambo mengine unajadili hali ya ulinzi na usalama Mashariki mwa
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini
mwa Afrika (SADC) Mhe. Emerson Mnangagwa akizungumza kwenye Mkutano wa pamoja
wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya
Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika katika ukumbi wa Kikwete, Ikulu
Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Februari, 2025. Mkutano huo pamoja na mambo mengine
unajadili hali ya ulinzi na usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Kongo (DRC).
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
(EAC) Mhe. William Ruto akizungumza kwenye Mkutano wa pamoja wa Wakuu wa Nchi
na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini
mwa Afrika (SADC) uliofanyika katika ukumbi wa Kikwete, Ikulu Jijini Dar es
Salaam tarehe 08 Februari, 2025. Mkutano huo pamoja na mambo mengine unajadili
hali ya ulinzi na usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Mkutano wa pamoja wa Wakuu wa
Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo
Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika katika ukumbi wa Kikwete, Ikulu Jijini Dar
es Salaam tarehe 08 Februari, 2025. Mkutano huo pamoja na mambo mengine
unajadili hali ya ulinzi na usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Kongo (DRC).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo
Kusini mwa Afrika (SADC) Mhe. Emerson Mnangagwa, Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki (EAC) Mhe. William Ruto, viongozi mbalimbali kwenye picha ya
pamoja kabla ya mkutano wao wa pamoja uliofanyika katika ukumbi wa Kikwete,
Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Februari, 2025.
No comments:
Post a Comment