RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg. Said Kiondo Athumani kuwa
Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-2-2025 na (kushoto kwa Rais)
Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
NDG. Said Kiondo Athumani akiapishwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo
pichani) kuwa Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) hafla hiyo
iliyofanyika leo 12-2-2025 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya kiapo ya Ndg. Said Kiondo
Athumani,baada ya kumuapisha kuwa Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) hafla
hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-2-2025 na
(kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi
Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpongeza Kamishna wa Mamlaka ya Mapato
Zanzibar (ZRA) Ndg, Said Kiondo Athumani, baada ya kumalizika kwa hafla ya
kumuapisha iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
12-2-2025, na (kushoto kwa Rais) Katibu
wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
No comments:
Post a Comment