RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akimkabidhi sadaka ya Futari Abdillah Iddi Riziki mkaazi wa Mgeni Haji
Wilaya ya Kati Unguja, wakati wa hafla
ya Iftaar ya pamoja aliowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja,
iliyofanyika katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu jana 17-3-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkaribisha tende Mufti Mkuu wa
Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, kwa ajili ya kufungulia saumu ya Mwezi Mtukufu
wa Ramadhani, wakati wa hafla ya Iftaar aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja iliyofanyika katika
ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Unguja,iliyofanyika
jana 17-3-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini
Unguja katika Iftaar ya pamoja aliyowaandalia katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed
Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, iliyofanyika jana
17-3-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu,
aliyoandaliwa na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja, akikabidhiwa na Mkuu wa
Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, baada ya kumalizika kwa hafla
ya Iftaar ya pamoja aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa huo, iliyofanyika katika
ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Unguja,
iliyofanyika jana 17-3-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa
Mkoa wa Kusini Unguja, baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftaar ya pamoja
aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa huo, iliyofanyika katika ukumbi wa Dkt. Ali
Mohamed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Unguja iliyofanyika jana 17-3-2025.
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali
Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa
hafla ya Iftaar ya pamoja aliyowaandalia katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein,
iliyofanyika jana 17-3-2025.

No comments:
Post a Comment