Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara), Ndg. Stephen Wassira amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Esteban Lazo Hernandez na ujumbe wake waliofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam leo Machi 6, 2025.
No comments:
Post a Comment