Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambae pia ni
Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini
mwa Afrika (SADC Organ akishiriki Mkutano wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama
ya Jumuiya hiyi (SADC Organ) kwa njia ya
mtandao, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 06 Machi, 2025. Mkutano huo
umejadili masuala ya hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Kongo.
TANCDA Yatoa Wito wa Mabadiliko ya Maisha; Yazindua Mpango wa Kidijitali wa
Smart Health Journey
-
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv
MUUNGANO wa Magonjwa Yasiyo ya Kuambukiza Tanzania (TANCDA) umetoa wito wa
mabadiliko ya haraka ya mitindo ya maisha mi...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment