Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na
Balozi wa Tanzania Vatican mwenye mkazi Berlin Mhe. Balozi Hassan Mwamweta
wakati akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Leonardo Da Vinci
uliopo Mjini Roma nchini Italia tarehe 25 Aprili 2025. Makamu wa Rais
anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Samia Suluhu Hassan, kwenye Mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa
Katoliki Duniani hayati Baba Mtakatifu Francisko yatayofanyika tarehe 26 Aprili
2025 Vatican.
KATIBU MKUU KIONGOZI AZINDUWA MWEZI WA ELIMU KWA SHUNGULI ZA WAKAGUZI WA
NDANI
-
*Katibu Mkuu Kiongozi Balozi, Dkt. Moses Kusiluka, akizungumza na maafisa
wa Taasisi za Umma na Binafsi kwenye kikao cha mwezi kilichofanika jijini
Do...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment