Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini Tamko la kuzindua Toleo
la Sheria za Tanzania zilizofanyiwa urekebu la mwaka 2023 kwa mujibu wa kifungu
cha 12 cha Sheria ya urekebu wa sheria, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 23
Aprili, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali mara baada ya toleo la
Sheria za Tanzania zilizofanyiwa urekebu la mwaka 2023, Ikulu Chamwino Mkoani
Dodoma tarehe 23 Aprili, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma pamoja na Mwakilishi wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Joseph Kizito Mhagama mara baada ya kuwakabidhi nakala 3 za Sheria za Tanzania zilizofanyiwa urekebu kwa mujibu wa kifungu cha 17 cha Sheria ya urekebu wa sheria kwa ajili ya kumbukumbu, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 23 Aprili, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Jaji
Mkuu wa Tanzania Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma pamoja na Mwakilishi wa Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Joseph Kizito Mhagama mara baada
ya kuwakabidhi nakala 3 za Sheria za Tanzania zilizofanyiwa urekebu kwa
mujibu wa kifungu cha 17 cha Sheria ya urekebu wa sheria kwa ajili ya
kumbukumbu, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 23 Aprili, 2025.
No comments:
Post a Comment