MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa CCM
alipowasili Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, kwa ajili ya kuongoza
Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo
23-4-2025
WAJUMBE wa Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya
CCM Zanzibar wakisoma makabrasha kabla ya kuaza kwa Kikao hicho, kilichoongozwa
na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,.Dk.Hussein Ali Mwinyi,
kilichofanyika leo 23-4-2025 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya
ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, kuongoza Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 23-4-2025 na (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Kikao cha Kamati Maalumu cha Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 23-4-2025 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
No comments:
Post a Comment