Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa
kuashiria ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya Benki ya Ushirika Tanzania yaliyopo
Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili, 2025.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria
ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya Benki ya Ushirika Tanzania yaliyopo Jijini
Dodoma tarehe 28 Aprili, 2025.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda ya
maonesho ya masuala ya kilimo nje ya Ukumbi wa Mikutano Jakaya Kikwete mara
baada ya uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Benki ya Ushirika Tanzania, Jijini
Dodoma tarehe 28 Aprili, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua mashine ya huduma za kifedha (Automated Teller Machine - ATM) kwa ajili ya Benki ya Ushirika Tanzania iliyopo Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa Benki ya Ushirika Tanzania, Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili, 2025.
No comments:
Post a Comment