Habari za Punde

WAZIRI MKUU AFUNGUA KIKAO KAZI CHA 15 CHA MAAFISA UTAMADUNI NA MAAFISA MAENDELEO YA MICHEZO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kipokea kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zawadi ya Rais ya picha iliyochorwa  wakati  alipofungua Kikao kazi cha 15 cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Aprili 22, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Tuzo ya kutambua mchango wa Rais kwenye sekta za Utamaduni, sanaa na Michezo wakati  Waziri Mkuu alipofungua Kikao kazi cha 15 cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Aprili 22, 2025
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipofungua Kikao kazi cha 15 cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Aprili 22, 2025.
 Washiriki wa  Kikao Kazi cha 15 cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipofungua kikao hicho kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Aprili 22, 2025


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.