Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega kuhusu juhudi za Serikali za kurejesha Mawasiliano ya Barabara zilizokatika kufuatia mvua zinazonyesha nchini wakati alipokagua maendeleo ya ukarabati katika maeneo ya Matandu na Somanga Mtama, Wilaya Kilwa Mkoani Lindi kwenye barabara kuu ya Dar es Salaam - Lindi, Aprili 16, 2025. Katika ukaguzi huo, Mheshimiwa Majaliwa aliongoza pia na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stegomena Tax

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega kuhusu juhudi za Serikali za kurejesha Mawasiliano ya Barabara zilizokatika kufuatia mvua zinazonyesha nchini wakati alipokagua maendeleo ya ukarabati katika maeneo ya Matandu na Somanga Mtama, Wilaya Kilwa Mkoani Lindi kwenye barabara kuu ya Dar es Salaam - Lindi, Aprili 16, 2025. Katika ukaguzi huo, Mheshimiwa Majaliwa aliongoza pia na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stegomena Tax.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wakazi wa Somanga Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi ambapo alikagua maendeleo ya ukarabati katika maeneo ya Matandu na Somanga Mtama, Wilaya Kilwa Mkoani Lindi kwenye barabara kuu ya Dar es Salaam - Lindi yaliyokuwa yamekatika kufuatia mvua zinazonyesha nchini, Aprili 16, 2025. Katika ukaguzi huo, Mheshimiwa Majaliwa aliongoza pia na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stegomena Tax.
No comments:
Post a Comment