Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid alipowasili katika viwanja vya jengo la Baraza la Wawakilishi Chukwani Jijini Zanzibar kwa ajili ya kulihutubia na kulivunja.
GWARIDE Maalumu la Kikosi cha FFU lililoandaliwa
kwa ajili ya uvunjaji wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar, gwaride hilo
lililofanyika katika viwanja vya Baraza Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Jijini Zanzibar 23-6-2025,wakitowa salamu ya heshima kwa Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya heshima, wakati wa
gwaride rasmin la Kikosi cha FFU lililoandaliwa kwa ajili ya uvunjaji wa Baraza
la kumi la Wawakilishi Zanzibar,lililofanyika 23-6-2025, katika ukumbi wa
Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya heshima, wakati wa gwaride rasmin la Kikosi cha FFU lililoandaliwa kwa ajili ya uvunjaji wa Baraza la kumi la Wawakilishi Zanzibar,lililofanyika 23-6-2025, katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikagua gwaride rasmini la Kikosi cha FFU lililoandaliwa
kwa ajili ya uvunjaji wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar, lililofanyika
katika viwanja vya Baraza Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini
Zanzibar 23-6-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar kwa ajili ya kulihutubia Baraza la Kumi la Wawakilishi na kulivunja, akiongozana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid. 23-6-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika paredi na Spika wa Baraza la
Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid, baada ya kulihutubia na kulivunja Baraza
la Kumi la Wawakilishi Zanzibar,uliyofanyika 23-6-2025 katika ukumbi wa
Baraza Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Rais Mstaafu wa
Zanzibar Mhe.Dkt. Amani Abeid Karume baada ya kulihutubia na kulivunja Baraza
la Kumi la Wawakilishi Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika 23-6-2025, katika
ukumbi wa Baraza Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment