Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Azungumza na Mjumbe Maalumu wa Biashara wa Serikali ya Uingereza kwa Afrika Mashariki Ikulu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimia na mgeni wake Mhe.Kate Osamor (MB) Mjumbe Maalumu wa Biashara wa Serikali ya Uingereza kwa Afrika Mashariki,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na ujumbe wake mazungumzo hayo yaliyofanyika leo 11-6-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mhe.Kate Osamor (MB) Mjumbe Maalumu wa Biashara wa Serikali ya Uingereza kwa Afrika Mashariki, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-6-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mhe. Kate Osamor (MB) Mjumbe Maalumu wa Biashara wa Serikali ya Uingereza kwa Afrika Mashariki (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-6-2025

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mhe.Kate Osamor (MB) Mjumbe Maalumu wa Biashara wa Serikali ya Uingereza kwa Afrika Mashariki,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-6-2025

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.