Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo akiwasilisha bungeni jijini Dodoma, Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026, Juni 12, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mchinga, Mama Salma Kikwete, bungeni jijini Dodoma, Juni 12, 2025.
Waziri Mkuu, Kasssim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, bungeni jijini Dodoma, Juni 12, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Madini, Dr. Steven Kiruswa, bungeni jijini Dodoma, Juni 12, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu kutoka Wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam waliotembelea Bunge jijini Dodoma kwa mwaliko wa Mbunge wa Viti Maalum, Mariam Kisangi (kulia kwake), kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 12, 2025
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi kutoka Kisarawe waliotembelea Bunge kwa mwaliko wa Mbunge wao, Dkt. Semani Jafo (wa tatu kushoto) kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 12, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wananchi kutoka Kisarawe waliotembelea Bunge kwa mwaliko wa Mbunge wao, Dkt Semani Jafo (kulia kwake), kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 12, 2025.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment