Habari za Punde

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Kampeni za Uchaguzi za Chama hicho katika viwanja vya Tanganyika Packers Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2025

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgombea Mwenza Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi mara baada ya kumkabidhi Ilani ya Chama Cha Mapinduzi ya Uchaguzi Mkuu yam waka 2025 wakati wa uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Tanganyika Packers Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2025. 
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika viwanja vya Tanganyika Packers Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho tarehe 28 Agosti, 2025. 

Shamrashamra za Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Tanganyika Packers Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2025. 

Viongozi mbalimbali, wasanii pamoja na wananchi waliohudhuria uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Tanganyika Packers Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2025
Shamrashamra za Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Tanganyika Packers Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2025. 
Shamrashamra za Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Tanganyika Packers Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2025. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.