Mgombea wa Nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiomba Dua pamoja na Wasaidizi wake Ikulu Jijini Dar es Salaam kabla ya kuelekea katika uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha hicho tarehe 28 Agosti 2025.
TANZANIA YAUNGA MKONO UENDELEVU WA BONDE LA NILE
-
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imethibitisha kuendelea
kulisaidia Bonde la Mto Nile, ikisisitiza kuwa Tanzania inatambua thamani
kubwa ya ra...
8 hours ago


0 Comments