Habari za Punde

Mafunzo ya Kuwajengea Uwelea Kanuni na Maadili Kwa Wagombea Uwakilishi Katika Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar 2025

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jaji George   Joseph Kazi akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mafunzo kwa Wagombea wa Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi ya kuwajengea Uwelewa   Kanuni  na Maadili katika Kampeni zao yaliofanyika katika Ukumbi wa Afisi kuu Tume ya Uchaguzi Maisara Zanzibar. 
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Thabit Idarous Faina akiwasilisha mada ya Matayarisho ya Uchaguzi katika Mafunzo kwa Wagombea wa Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi ya kuwajengea Uwelewa  Kanuni na Maadili  katika Kampeni zao yaliofanyika katika Ukumbi wa Afisi kuu Tume ya Uchaguzi Maisara Zanzibar.
Mchungaji Kiongozi Timothy Philemon Kalenga akiwasilisha mada kuhusiana na kuwajibika kwa Viongozi katika Mafunzo kwa Wagombea wa Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi ya kuwajengea Uwelewa , Kanuni na Maadili  katika Kampeni zao yaliofanyika katika Ukumbi wa Afisi kuu Tume ya Uchaguzi Maisara Zanzibar.
Mjumbe wa Baraza la Ulamaa Ofisi ya Mufti Mkuu Zanzibar Sheikh Shaaban Albataash akiwasilisha mada ya Amani na Usalama katika Mafunzo kwa Wagombea wa Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi ya kuwajengea Uwelewa , Kanuni na Maadili  katika Kampeni zao yaliofanyika katika Ukumbi wa Afisi kuu Tume ya Uchaguzi Maisara Zanzibar.
Baadhi ya Wagombea wa  Uwakilishi waliohudhuria katika Mafunzo ya kuwajengea Uwelewa   Kanuni na Maadili katika Kampeni zao yaliofanyika katika Ukumbi wa Afisi kuu Tume ya Uchaguzi Maisara Zanzibar.
Mgombea Uwakilishi Viti Maalum Jmbo la Kikwajuni Attiye Ally Salim akiuliza maswali katika Mafunzo kwa Wagombea wa Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi ya kuwajengea Uwelewa , Kanuni na Maadili  katika Kampeni zao yaliofanyika katika Ukumbi wa Afisi kuu Tume ya Uchaguzi Maisara Zanzibar.
Mgombea Uwakilishi Jimbo la Malindi  Ali Saleh akiuliza maswali katika Mafunzo kwa Wagombea wa Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi ya kuwajengea Uwelewa , Kanuni na Maadili  katika Kampeni zao yaliofanyika katika Ukumbi wa Afisi kuu Tume ya Uchaguzi Maisara Zanzibar.
Mgombea Uwakilishi Jimbo la Paje Jaku Hashim Ayoub akiuliza maswali katika Mafunzo kwa Wagombea wa Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi ya kuwajengea Uwelewa , Kanuni na Maadili  katika Kampeni zao yaliofanyika katika Ukumbi wa Afisi kuu Tume ya Uchaguzi Maisara Zanzibar.
Makamo Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Aziza Idi Suwedi akitoa hotuba ya Ufungaji wa Mafunzo kwa Wagombea wa Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi ya kuwajengea Uwelewa , Kanuni na Maadili  katika Kampeni zao yaliofanyika katika Ukumbi wa Afisi kuu Tume ya Uchaguzi Maisara Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZANZIBAR.12/09/2025.J

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.