Mgombea Ubunge Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Ridhiwani Jakaya Kikwete akizungumza katika mkutano wa Kampeni ya Uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, Ubunge na Udiwani Kata ya Lugoba na kuwaombea Kura, na kuinadi Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 2025.
UCHUMI WA TANZANIA UMEKUA KWA 5.4 ROBO MWAKA YA KWANZA 2025
-
N*a. Joseph Mahumi, WF, Dodoma*
Timu ya Wataalamu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikiongozwa na Bw.
Nicolas Blancher, imemaliza ziara yake nchini T...
54 seconds ago
No comments:
Post a Comment