Habari za Punde

JAJI MWAMBEGELE ATAMBELEA WILAYA YA CHAMWINO

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akiangalia bango mshale ambalo hutumika kuelekeza wapiga kura katika vituo ya kupigia Kura wakati alipotembnelea ghala la vifaa vya Uchaguzi katika Halmashauri ya Chamwino Mkoani Dodoma jana. Jaji Mwambegele  pia alitembelea Halmashauri za Wilaya ya Bahi na Dodoma Mjini   mkoani humo kukagua maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akiangalia mabengi kwaajili ya mafunzo kwa watendaji wa vituo wakati wa Uchaguzi wakati alipotembnelea ghala la vifaa vya Uchaguzi katika Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma jana. Jaji Mwambegele pia alitembelea Halmashauri za Wilaya ya Bahi na Dodoma Mjini mkoani humo kukagua maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025. (Picha na INEC).


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.