Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Mchinga katika muendelezo wa
Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Lindi tarehe 25 Septemba, 2025.
Sehemu ya wananchi wa Mchinga, mkoani Lindi
waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi
(CCM) tarehe 25 Septemba, 2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Mgombea Ubunge
wa Jimbo la Mchinga Salma Kikwete mara baada ya kuhutubia wananchi wa Jimbo
hilo mkoani Lindi tarehe 25 Septemba, 2025.


No comments:
Post a Comment