Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Askofu Mkuu
wa Jimbo Kuu la Tabora Kardinali Protase Rugambwa pamoja na Baba Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo hilo
Mhashamu Baba Askofu Paul Ruzoka, Ikulu Ndogo ya Tabora tarehe 12
Septemba, 2025. Pamoja na mambo mengine pia Maaskofu hao walimuombea Rais Dkt.
Samia ambaye anagombea nafasi ya Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Askofu Mkuu
wa Jimbo Kuu la Tabora Kardinali Protase Rugambwa pamoja na Baba Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo hilo
Mhashamu Baba Askofu Paul Ruzoka mara baada ya kuwasili Ikulu Ndogo ya Tabora
tarehe 12 Septemba, 2025.
No comments:
Post a Comment